Chama kilianzishwa 1960 na wanasiasa waliyekuwa wanachama wa Kenya African Union ilichoanzishwa mwaka 1944 kwa jina la Kenya African Study Union. Jina likabadilishwa haraka kuwa "Kenya African Union" likabaki hivyo hadi 1952 KAU iliposimamishwa na serikali ya ukoloni. Mwenyekiti wa KAU ilipos ajiliwa alikuwa James Gichuru. Gichuru alipatiya kiti chake cha uongozi Jomo Kenyatta wakati Kenyatta aliporudi Kenya baada ya miaka 20 ngambo. Gichuru angerudia tendo hili wakati alipochaguliwa kuongoza KANU ilipofufuliwa kupigania uchaguzi ambayo ingekuwa 1963. Kenyatta angeendelea kuongoza hiki chama tangu mwaka 1960 hadi kifo chake 1978. Tangu Oktoba 1978 Daniel Arap Moi akawa kiongozi wa chama.
Chama cha KANU kilianzishwa mwaka gani?
Ground Truth Answers: 196019601960
Prediction: